real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,303
miracles do happen in footballOlimpi inaongoza league halafu inacheza na team ya mwisho. Halafu head to head hiyo team haijawahi kumfunga
miracles do happen in footballOlimpi inaongoza league halafu inacheza na team ya mwisho. Halafu head to head hiyo team haijawahi kumfunga
Hahaa unajisumbua kijana hizo mambo ni fake wanakupumbaza tu kukwambia kadri unavyoutangaza mtandao wao kwa wengine ndo dau lako linaongezeka,Ila hiyo hela huwezi ipata...Acha si tuendelee kubet kwa hela zetuNashukuru kwa wa
Nashukuru kwa waliofata ushauri wangu na kufungua ile link,, nashukuru kwa mlio nibeza pia,, hadi sasa wamevisit 12 nina 65 dollars
Mkuu Botswana atashinda hiyo game utapoteza pesa yakoNataka niweke 50000 kwa comoros mnasemaje wadau
MPE ComoroPoint 10.62
Ndio betting hiyo...kama hofu IPO unaacha...Nacheki mechi nyengie Comoros roho hainipi
awe makini asije ku bet hela ya ada one dayKaribu tena kaka tumekusubiria kwa muda siku hiz umepata mwenzako wa kujilipua anaitwa WA KUSOMA
mimi huwa si bet kwenye game za intenational (timu za taifa) huwa hazitabiriki kabisa, japo kwa wadau wa under/over hizi zina ukame wa magoli sana, ila ni magumashi tupu, unabet match ya argentina vs iran, wanatoa draw...bora club zinaeleweka kiasi
Kwa hiyo Italy vs Spain ni ngumu kumeza