Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimehamia m-bet naombeni ushauri hapa
 

Attachments

  • 1458902110238.jpg
    1458902110238.jpg
    39 KB · Views: 45
Naomba kujua zaidi juu ya Mbet ya Bongo NA malipo ya mkeka mmoja kwa mfano 20'000 unaweza kupata kiasi gani?
 
Naomba kujua zaidi juu ya Mbet ya Bongo NA malipo ya mkeka mmoja kwa mfano 20'000 unaweza kupata kiasi gani?
Kiasi utakachopata kinatokana na odds utakazopata unazidisha na hela unayoweka. Mkuu unahitaj tution mana unaonekana ni fresher ktk game hii.
 
Dah sijui why sikucheza hii nimebakia kuclick nakuipiga picha Jana ILA roho haikunipa.
 

Attachments

  • WP_20160324_005.jpg
    WP_20160324_005.jpg
    232.8 KB · Views: 36
10pound ningepata 180 Jana Kama ningefata kichwa changu Na sio roho ya ubahili! ILA nishagubdua nitasubiri April 2 timu za EPL Na Ujerumani nzuri both team to score mfano west ham vs c palace Sunderland vs westbrom Lazio vs Roma Na Dortmund vs werser bremen
 
hivi superbets ni wajinga kiasi gani maaan niliweka elfu kumi yangu toka usiku lakini mpaka leo ijumaa kuu inaisha sjaona chochote kwenye account yangu. Halafu customer care yao ni mbaya sana. ndo maana hawa m-bet watabaki kuwa my favorite kwa huu muda
 
Haya nishacheza hivi tusubiri muda Tu WA furaha au majuto?
 

Attachments

  • WP_20160325_003.jpg
    WP_20160325_003.jpg
    369.1 KB · Views: 42
Back
Top Bottom