Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nadhani itafika hatua humu tutakimbiana kila mtu awe anacheza kivyake sababu hii ya kuitana mawakala. Kwamba mm niko england najua burton hashindi?

Watu na midomo yenu ndio itawaponza, mbona mimi kila siku naliwa humu sasa hapo uwakala uko wapi?

Yaani mtu unaweka mkeka unakula na mwingine unaliwa tatizo tunatofautiana stake lkn mchezo ni ule ule. Sasa ngoja niweke msg niliyolipia tiketi ya Burton na baada ya mechi mtaamua nyie nyie nimekula ay nimeliwa

Ukiweka ticket naacha kubet
 
Hivi meridian wanatatizo gani kila nikijaribu kucheza live betting wanasema server error! embu mwenye kauzoefu aniambie tatizo nini
 
Burton ameua mtaji.

Sitarudi humu tena kutoa ushauri kwa mtu maana leo nimeeleweka vibaya kwa yule niliyemhakikishia ushindi wa Bulton nadhani option nzuri sana ilikuwa under.

Duh! Basi
 
upload_2016-3-26_17-19-30.png
 
CA91NC326 Imethibitishwa. Tsh200,000 imetumwa kwa RAIN DIGITAL LTD kwenye akaunti namba 123458 tarehe 26/3/16 saa 2:24 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh209,600.
 
Akaunti yako ya Mkekabet 76xxxxxxxxxx imeongezwa Tsh 200000. Salio lako jipya ni Tsh 208125. Tembelea www.mkekabet.com au piga 0758606197 kwa msaada zaidi.
 
unajua namna ya kupiga screenshot na ku upload hapa?
Hata mm huyu jamaa nina wasiwasi nae, kwann haweki mikeka yake hapa? Au hizo sms zake kwann hapigi screenshort tuone? Nahisi anatutia ndimu na sisi tuwe tunaweka pesa nyingi ili tuliwe kama kweli yeye anaweka 500000 na kula 900000 aweke mikeka yake tuone au apige screenshort sms akifanya malipo au akiingiziwa mzigo wake
 
Wadau double chance kwenye mkekabet mnacheza vp? kwa timu nyingi?
Bonyeza mechi unayotaka alafu zitakuja options..option ya pili double chance 1x..12..2x ukishachagua unarudi nyuma unachagua nyingine mpaka zinazokutosha basi unaenda kwenye bet slip
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)... I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)... II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili).... H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)... A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
wakuu nani amejiunga na bt365 kuna vitu nahitaji kufaham kabla sija sign up
 
wakusoma weka screen short ya mkeka wako watu wamekustukia Mimi siku ile ya Poland uliweka SMS yako ya ela alafu ukaja asubuhi umejisahau ukasema umeshinda wakati ulikuwa umeweka mkeka Poland ashinde Na Serbia apate goli na sebia akupata ukasema ulifata ushauri ukabadili je kuna kampuni ya bet ukilipia unaweza badilisha sasa mkeka bet wana kulipa shilingi ngapi utuchuze
 
Kwamba wote tunatumia simu zenye kupiga sceen shot? Jamani hivi kufuata mkeka wa mtu ni lazima?

Japokuwa nimegundua kuanzia sasa option yangu ya kucheza nahama kutoka single bet naenda multiple bet kwa option ya under 3.5 kila siku kwa mechi tatu tu.
 
kuna haja gani kudanganya stake hapa.. hapa watu hawahitaji sana kujua unaeka tsh ngapi weka tips watakao kufuata wakufuate.. wacha kutudanganya sisi
Kikawaida ukibet ukiweka mkeka wako hapa unamaanisha ataoupenda aufate,
Mfano ukiweka 1000 ikitoka laki inamaana mtu ataangalia aufate kwa sh ngap na itatoka sh ngap, tatizo la huyu jamaa wa kusoma anatoa odds na hela aliyoweka na atakayopata akishawishi watu wacheze kama yeye akisema sasa kastuka anacheza single bet mwenye hela amfate kesho utapata hela na vitu kama hivyo, chaajabu hakuna ushaidi wowote kuonyesha kweli kaweka laki 5 tuwe makini na huyu mtu kipindi cha nyuma alikuwa anabet kweli kwa 2000 akiliwa alikuwa analalamika sn nashangaa siku hizi anasema anaweka laki5 akiliwa wala halalamiki utamsikia jana muhindi kanipiga leo naweka laki 5 narudisha mtaji wangu.
TUWE MAKINI NA HAWA WATU WA MKEKABET
 
Back
Top Bottom