Wakusoma ni wakala wa mkeka bet.. n mfanyakazi .. tumpuuuuze wadau....Kusubiri mikeka ya wa kusoma ni sawa na kusubiri meli airport,
Au anaweza akaweka mkeka alafu asiulipie maana ukishabet ukatengeneza mkeka wako online ni jambo na kulipia tigopesa au mpesa ni jambo la pili
Akituma screenshort ya sms aliyofanya malipo na akipost mkeka wake hapa mm nitakuwa wa kwanza kumuomba msamaha na itabidi tumsafishe kwa shutuma zote tulizompa lakini sidhani kama atafanya hivyo ila ngoja tuone
Huyu wakusoma sio wa kumfuata mkuuuu.... n mfanyakazi wa mkeka bet.. kaz yao n kuingia kwenye hiz social media na kupotosha umma..sielewi kwann wakusoma anaendelea kuprove kwa wadau.. na sielewi kwann wadau wanataka aendelee kuprove . vita ya muhindi imehamia kwa wakusoma sio?? tia mikeka na tips hapa watu waserebuke na minyoosho, wakusoma hayo mastake na maelezo yake waoneshe classmates hapa tia matips.. hatusemi mtu asiweke stake ila isiwe ndo big deal.. huwa hatuanzishi mjadala wa stake humu (ikitokea unaweka na stake kweny mkeka basi piga kimya tu kwasababu sijawahi kusikia mtu anauliza kama akipunguza au akiongezea pesa kwny stake uliyoweka atawin au lah(aidha labda kama ni mwendawazimu))
Unalipia hizo mikekaaaa....???Naombeeeni nilale jamani naona mtandao ni shida la msingi tuelewe wote hapa tunapambana na mhindi sio kuanza kutupiana maneno sisi wenyewe.
View attachment 332772 Mimi Wa kusoma niko Kigoma sasa huo urafiki na mhindi niutoe wapi? Kwanza kujua kubet mimi nimejifunzia humuhumu akina Mtoto wa nzi ndio walikuwa wananielekeza nini maana ya O/U
Una bet 5,000 unasema ume bet 500,000 wewe ni jipu.... acha kupotosha wadau...View attachment 332771 Kama kuna mkeka niliongelea humu sijauweka mnikumbushe maana zote ninazo
Jamaaa muongo.. ana bet 5,000 anasema laki tano....Tatizo Muongo aliona akuna root wanaeka stake kubwa akaja kutudanganya Apaa kumbe elfu tano tano kama sisi wakusoma unaongeza sifuri kwa faida ya Nani
Huna tofauti na wakusoma wewe, kila siku hockey hockey..tukikuambia weka mikeka hiyo ya hockey humu unakimbia.Mzee wa ice hockey nimerudiii.... ice hockey pesaa ipo wakuiuuu. .. !!
Haaaaaah haaaaah [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Huna tofauti na wakusoma wewe, kila siku hockey hockey..tukikuambia weka mikeka hiyo ya hockey humu unakimbia.
mkuu vipi ulifanikiwa kupata utaratibu wa kujiunga bet365?Npe utaretibu kuhusu 365bet
Bet lost.. cska kashachana dahCska under 2.5
Sibir over
Cordoba x