Namsubiri Sporting cp peke yake. Tuombeane maana leo nimeweka hela kubwa1. Besikitas
2. Sporting cp
3. Fc porto
4. Freibug
5. Maccab
Weka chochote kile unachoona unaweza kuweka lkn pia ukipoteza huwezi kujuta
Ulicheza option gani hapa mana naona matokeo ni manyoka nyokaNamsubiri Sporting cp peke yake. Tuombeane maana leo nimeweka hela kubwa
Bet lost hammarby besiktas Bologna mhhhhHammarby
Freiburg
Besiktas
Bologna
Sporting CP
FC botosan
20000 :: 628585[emoji12] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
kimya wa kusoma vp mkeka leo?Huwezi kula kila siku lkn unaweza kuliwa siki. Leo mambo yamegoma kwa Fc Porto pekee kanivurugia. Kwa wale waliochagua mechi tatu hongereeni
mkuu timu nying
Lipia kias chochote namba ya kampuni ni 238844 na kumb no 123458 hapo watakutumia password. Username ni namba yako ya simu. Kiasi ulichoweka utakikuta kwenye account. Hii ni kwa m pesaWadau naombeni mnielekeze jinsi ya kujisajili mkekabet