Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1. Besikitas
2. Sporting cp
3. Fc porto
4. Freibug
5. Maccab

Weka chochote kile unachoona unaweza kuweka lkn pia ukipoteza huwezi kujuta
Namsubiri Sporting cp peke yake. Tuombeane maana leo nimeweka hela kubwa
 
wadau kwa over hapa vp tushauriane
Barcelona
Bayern munich
Celtic
Dundee united
Partick
 
Wadau naombeni mnielekeze jinsi ya kujisajili mkekabet
Lipia kias chochote namba ya kampuni ni 238844 na kumb no 123458 hapo watakutumia password. Username ni namba yako ya simu. Kiasi ulichoweka utakikuta kwenye account. Hii ni kwa m pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…