Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Tiyeni maneno wakuu hapo kabla sijalipuka Cc roots,wakusoma,raimundo,public enemy Na wengine
Ningekushauri ukatumia.mkekabet.com,M-bet.co.tz ama tafuta application ya meridianbet.kama utakosa betshop.am fika hapo four ways club ulizia utaelekezwa.Kuna betshop gani Tabora?
Mkuu basket vipi siku hizi?? Leo naona kuna games za kutosha sanaMimi leo nawashauri kama kuna mtu ana hela acheze double chansi kwa Atletico, odd ni 2.47.
hii Y maana yake nini mkuu?B.Munich 1Y
Barca 1Y
Celtic 2Y
OVER? naomba unifafanulie hapa mkuu.bayern
barcelona
ranger
dundee
over tukutane 9:45
hapo kila timu zitoe goli 3OVER? naomba unifafanulie hapa mkuu.
poa mkuu. kila timu ipige goli 3 ina maana jumla ziwe 6?hapo kila timu zitoe goli 3
Mkuu basket vipi siku hizi?? Leo naona kuna games za kutosha sana
Aksante mkuuDah, regular season ngumu sana kibiashara.
Ila kwa leo jaribu hizi mbili:
Utah vs SAS: SAS over 46.5 half one (iwapo kama Lemarcus Aldridge, Kawhi Leonard na Tony Parker) watacheza.
poa mkuu. kila timu ipige goli 3 ina maana jumla ziwe 6?
HAPAN wawez weka hata game 2 kikubw magoli yawe ma3 au zaidi yasipungueJumla ziwe 3 au zaidi timu zote.