Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nyumbu hasira zako mpelekee muhindi aliyekukula
Tatizo kuna baadhi ya watu walizaliwa kwa sababu kondomu zilichanika basi mimba zikatungwa na ndio wewe waache vijana wacheze kamari we nenda kafue chupi za makonda upate pesa kijana
 
Kubishana na mpuuzi na wewe unaonekana mpuuzi muacheni huyu fisadimkuu atukane vyenye anaweza sisi tuendelee na mambo yetu akichoka atasepa achaneni nae.
NAOMBENI PREDICTION ZENU LEO
 
ferencarvos win
mtk budapest win
diosgyori vtk win
as trenchin win
nk dinamo zagreb win
el dhakely win
fortuna duseldof ll win
fc copenhagen win
olympiacos win.

chambua tano eka mzigo hapo. ushaur jamani
 
za kwangu za leo;

ferencavos 1.29. - hungary
mtk budapest. 1.67 - hungary
dioaygori vtk 2.01 - hungary
el dhakley. 1.38 - egypt
fortuna duseldof ll 1.16.- germany

total odds 6.89
 
 
Complex, Root, Mtoto wa nzi, Teja Junior, Econometrician, Sumve 2015, Rockcity native na wadau wote wa uzi huu heshima kwenu.

Nimekuwa nje ya jukwaa kwa kipindi kirefu sana baada ya kuona game ni ngumu kwa kila nyanja, muhindi na mzungu wanaendelea kuumiza.

Baada ya kufanya tafakuri ya kina nimeona nifanye uamuzi wa kurudi rasmi kabisa kibiashara na si kujifurahisha, natenga 1m cash ambayo nitaigawa katika mafungu 4 ya shilingi laki 2.5 kila fungu.

Nitakuwa ninabet single game au 2 games kwa kila bet kwa wastani wa odd ya 1.4-2.0, bila uroho ninaamini nitafanikiwa, nitaiweka mikeka yangu kabla na baada.

Malengo ni kutengeneza faida ndogo ndogo at least 500,000 kwa wiki, ambayo itakuwa ni 2m kwa mwezi.

Hili zoezi nitalianza tar 18/19 playoffs za NBA zinapoanza, so guys stay tuned, I want to take betting serious.

Najiandaa kuset standards na principals ambazo kama nitazifata ipasavyo nitafanikiwa, nitashare kila kitu hapa jukwaani.
 
Niko kwenye utafiti wa kurejea pia utafiti unaonesha kuzaa matunda, moja ya dodoso katika utafiti wangu ni kupitia Mkeka bet option ya under 4.5, kila siku naweka mechi 25 kwa zaidi ya wiki sasa na mkeka umekuwa ukichanwa na si zaidi ya mechi 3, wazee wenzangu wa kujilipua hapa panahusika sana.
 
wazo zuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…