Complex,
Root,
Mtoto wa nzi,
Teja Junior,
Econometrician,
Sumve 2015,
Rockcity native na wadau wote wa uzi huu heshima kwenu.
Nimekuwa nje ya jukwaa kwa kipindi kirefu sana baada ya kuona game ni ngumu kwa kila nyanja, muhindi na mzungu wanaendelea kuumiza.
Baada ya kufanya tafakuri ya kina nimeona nifanye uamuzi wa kurudi rasmi kabisa kibiashara na si kujifurahisha, natenga 1m cash ambayo nitaigawa katika mafungu 4 ya shilingi laki 2.5 kila fungu.
Nitakuwa ninabet single game au 2 games kwa kila bet kwa wastani wa odd ya 1.4-2.0, bila uroho ninaamini nitafanikiwa, nitaiweka mikeka yangu kabla na baada.
Malengo ni kutengeneza faida ndogo ndogo at least 500,000 kwa wiki, ambayo itakuwa ni 2m kwa mwezi.
Hili zoezi nitalianza tar 18/19 playoffs za NBA zinapoanza, so guys stay tuned, I want to take betting serious.
Najiandaa kuset standards na principals ambazo kama nitazifata ipasavyo nitafanikiwa, nitashare kila kitu hapa jukwaani.