CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,867
- 16,016
Mi kuna jamaa job alinishtua akasema yy huwa anaamka saa 9 usiku kupiga NBA live. Anaanza na mtaji wa 20k hadi asubuhi unakuta ana 100k hadi 150k siku zingine. Nikasema ntajaribu. Jana nikaanza na Tsh 803 hadi muda huu niko na 40k nishawithdraw hapa 30k nimebakiwa na 11k ya mtaji.Ngoja tuendelee kuwinda kwenye hili pori