Sanga Imma
Senior Member
- Apr 8, 2016
- 177
- 73
Haaa Haaa Kuja kwa InboxNipe namka kaka
haya ngoja tuskilizieTulia kush A. Club Second half Anafunga .
Tata mura Goal umeliona Siohaya ngoja tuskilizie
Usiwe na tamaa ya hela,Hapo sawa kaka sasa mbona nikiweka tim chache hazina hela ushauli wen
nilimtoa sema dotmund chenga#Dumeguy, hapa nlikuwa na wasi wasi sn na Man U, sijui ulimtoa??
dah nimeliona chief ...neema leoTata mura Goal umeliona Sio
Usogope sema mikeka yangu zero sijui Hyu Mganga Muongo.dah nimeliona chief ...neema leo
NpmMakanya jrjr nisaidie namba yako
Msaada kuwa na mtaji na kutoweka timu nyngi ! Me kl cku nampga cku cna hela nkieka hela ndgo naeka timu nyingi napgwaJaman hapa tukae tufikilie njia gani ya kumufilisi mhindi maana kila ck anatuchapa jamani namba anaye faham dawa ya kuwa na machale wakati wa kuchagua tim aniambie msaada naitaji kutoka kwenu
Usiwe na tamaa ya hela,
Kwenye biashara ni ngumu sana kuinvest mtaji Wa 1000/- upate faida ya 1,000,000/- ila ni rahisi sana kuinvest mtaji wa 5,000/- upate faida ya 3000/-