Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hivi meridian bet hawana option hizo za over au under kama mkeka bet msaada
 
d69e125b30361340ac5265f1f0d81972.jpg
nimtoe yupi wadau


#Dumeguy, hapa nlikuwa na wasi wasi sn na Man U, sijui ulimtoa??
 
Timu zilizochana mikeka ya watu leo 1.basel, 2.shakter 3.Dortmumd ogopa sana kuipa timu ambayo inashirikin mashindano makubwa tena katika hatua ngum kama hii weng huacha wachezaj wazuri nje
 
Back
Top Bottom