Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

d69e125b30361340ac5265f1f0d81972.jpg
nimtoe yupi wadau
Mkuu ila man utd sio ya kuiamini kivile
 
Mkuu achana na Napoli hatabiriki sku hizi if possible mpe draw
Pia higuan hayupo alipewa red card mechi iliyopita ila mpe atashinda coz yupo home pia yupo under presure coz juventus jana ka win hvo lazma avte soks na yeye
 
leo naachana na Mbet nataka kujiunga Mkeka bet naombeni jinsi ya kujiunga
 
Daaah Leicester City alikuwa na odd 2.10, hv niliachaje kumwekea laki ningekuwa nimeshalamba laki ya kumalizia weekend.
 
Back
Top Bottom