Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu maoni yenu hapa
Fiorentina win
Napoli win
Lazio win
Atlethc bil win
Villareal win
Celta vigo win
 
Leo twende hivi
Nurnberg
Shaktar Donetsk
Dinamo Zagreb
Olympiakos
Dynamo kyviv
Fc Basel
Napoli * nimemuweka coz yupo home

Ranges
Sparta Praha

All to win na leo tukiliwa basi tena
 
ivi ukibet na mkekabet ukiweka under half time mechi zikitoka hivyo hivyo wanakulipa kesho yake au
 
Leo nataka kubeti 1st half
Sunderland draw
Tottenham draw
Schalke 04 draw
FC cologne draw
FC twente draw
Lille draw
Marseille draw
Empoli draw
Torino draw
Sampdoria draw
Valencia draw

Nahitaji timu 4 tu niziwekee naomba maoni katika hili
 
Habari za asbh wadau, poleni kwa matokeo ya Barcelona jana.

Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.

Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.

Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.

Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.

Nb. Sitaweza kuweka screen shot ya mikeka kwani simu wamepeleka lkn naombeni dua zenu leo nataka nimtandike mhindi kesho nikanunue walau TV ya kisogo
 
Dah pole mkuu aiseee ila tupe hata update tuwekaje mkeka leo hata nan atawin nan lose
 
Habari za asbh wadau, poleni kwa matokeo ya Barcelona jana.

Ndugu zangu wana jukwaa kwa masikitiko makubwa nawataarifu ya kuwa usiku wa kuamkia leo wezi wamevunja mlango wa uani na kuingia ndani.

Wameniibia TV flat screen inchi 32 samsung, System ya mziki, deki na simu yangu aina ya Samsung galaxy s3 ya kikorea.

Naombeni ushirikiano wenu kwa atakayeona mtu anauza vitu hivyo.

Eneo wizi ulipotokea ni Kigoma.

Nb. Sitaweza kuweka screen shot ya mikeka kwani simu wamepeleka lkn naombeni dua zenu leo nataka nimtandike mhindi kesho nikanunue walau TV ya kisogo
Daah kweli kazi ipo...unafanan na wanaume wa dar
 
Mbwembwe zimeshaanza watanzania bhana..
 
Pole sana wa kusoma
 
Back
Top Bottom