Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,711
èxpert uchwara huyoSoma elewa mkuu. Me sizungumzii unachozungumzia 0-10 minutes No goal
èxpert uchwara huyoSoma elewa mkuu. Me sizungumzii unachozungumzia 0-10 minutes No goal
èxpert uchwara huyo
Sijafanya quotation ya maneno uliyoweka mkuu mi nimetoa alert tuHii si lugha nzuri. Punguza makasiriko
Sijafanya quotation ya maneno uliyoweka mkuu mi nimetoa alert tu
Tulia mkuu tuko moja moja...
Shauri unachokifanya...Ushauri wangu sio sheria ukitaka ufuate au uuache.
Ukitaka pesa za muhindi tafuta mtaji mkubwa then dili na hii option ya multigoals 1-6 ...wanatoa odds ndogo 1.05-1.1 unganisha timu zako tano au sita hapo hutakosa odds 1.5-1.6 ambayo itakuhakikishia return ya 50% ya mtaji wako (ikiwa utashinda)...asilimia 95 ya matokeo ya mechi huwa na range hiyo ya magoli. Unless itokee 0-0 au mechi za wanawake wanaofungana goli 9-10.
Ushauri wangu sio sheria ukitaka ufuate au uuache.
Ukitaka pesa za muhindi tafuta mtaji mkubwa then dili na hii option ya multigoals 1-6 ...wanatoa odds ndogo 1.05-1.1 unganisha timu zako tano au sita hapo hutakosa odds 1.5-1.6 ambayo itakuhakikishia return ya 50% ya mtaji wako (ikiwa utashinda)...asilimia 95 ya matokeo ya mechi huwa na range hiyo ya magoli. Unless itokee 0-0 au mechi za wanawake wanaofungana goli 9-10.
Very good..Option zangu zimekaa kibahati zahidi, hivyo huwa ninatupia tu, Cox nature ya Optn ukiopt NO probability ya green light ni kubwa... stake low BIG result
- Race NO
- Sending Off NO
- Substitute player to score NO
- Penalty Awarded NO
- Penalty Awarded or Sending Off NO
zote hizo rate range mostly 1.2-1.8 inategemea na option.
ndio maana nimekuwa situpii mikeka Coz ni suala la kutupia tu.
View attachment 2140380
View attachment 2140381
View attachment 2140382
View attachment 2140383
Yes Ndugu!
View attachment 2140355
Usiku mwema jamn.
Nakunywa afu muda huo huo nakunywa na maji lita kumiInshort ni kuwa hawana bonus ila ni scammer wanataka uweke mpunga ili wakupige...bookies matapeli hao!! Ni sawa mtu akambie nakula bonus ya milioni 10 ila masharti unywe sumu ya panya.
Mbona hiyo game ya norwich vs brentford...jamaa katupia goli tatu peke yake?Option zangu zimekaa kibahati zahidi, hivyo huwa ninatupia tu, Cox nature ya Optn ukiopt NO probability ya green light ni kubwa... stake low BIG result
- Race NO
- Sending Off NO
- Substitute player to score NO
- Penalty Awarded NO
- Penalty Awarded or Sending Off NO
zote hizo rate range mostly 1.2-1.8 inategemea na option.
ndio maana nimekuwa situpii mikeka Coz ni suala la kutupia tu.
View attachment 2140380
View attachment 2140381
View attachment 2140382
View attachment 2140383
Ivan toney kapiga hat trick ..Mbona hiyo game ya norwich vs brentford...jamaa katupia goli tatu peke yake?
mchezaji yeyote afunge goli mbiliBrace kwenye betting inamaanisha nini