Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadau kwema,,, hivi hawa 22Bet wanachukua mda gani kuingiza hela maana nime withdraw elfu50 jana asubuhi had leo bado sijaipata,

mwenye namba zao au jins ya kuwasiliana nao naomba anipatie
Kila siku lazima mtu alalamikie hio 22bet kuhusu kuweka na kutoa
Mbona hapa bongo kuna kampuni bomba tu hazina usumbufu?
 
wadau kwema,,, hivi hawa 22Bet wanachukua mda gani kuingiza hela maana nime withdraw elfu50 jana asubuhi had leo bado sijaipata,

mwenye namba zao au jins ya kuwasiliana nao naomba anipatie
Vp nakudeposite wanasumbua?
 
Back
Top Bottom