Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wadau hizi options za mkeka bet zinapatikana wapi coz naona normal, na draw
 
Jamani naombeni team 10 nina elfu hamsini hapa
Acha uroho weweeeee.... 50000 uweke timu kumi .... Cheza mwisho4. ..

MPE
Southampton 1.6
Dortmund 1.7
Liverpool 1.55
Brighton 1.44

Unapata odds 6.07 *....dau lako 50000=303,550=/tshs....faida 250,000..... Nimecheza hivi..... Una mtaji wrote huo afu unataka presha ya mamilioni..... Kula faida hata ya 3... Yaani 150000..... Ushauri tu
 

Attachments

  • Screenshot_2016-04-23-13-43-39.png
    211.1 KB · Views: 46
wadau hbr za mchana mwenye 2000 anisaidie nipo safar in naelekea Mwanza nataka kubet Namb yangu 0768656983
 
Vp jaman huyu porto leo[emoji34] [emoji57] mnamwonaje
 
Asante mtoto wa inzi ila mamilioni tunayapenda. Maana kwenye betting kuna mambo ya ajabu. Team inayokuangusha inaweza ikawa ile unayoiamini zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…