allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,177
- 820
buddy we kiboko nimekuelewa vizur.bet zako
buddy we kiboko nimekuelewa vizur.bet zako
Madrid kashaanza uchawi
Acha kabisa labda atarekebisha kipingi cha pili vinginevyo nalala mapema leo 50 yanguuuu!!!Madrid kashaanza uchawi
wikiend kawaida yaoyani meridian ni mafara sana leo kila wakati server error
Izi makusudi na inakuwaga jumamosi tu ila jumapili unakuta mtandao umetuliawikiend kawaida yao
yaanihapa nina masaa mawili nakodolea laptop nicheze za live ngoma imegoma.this is so disapointing.jamaa nahisi wanafanya kusudi kutotatua tatizoyani meridian ni mafara sana leo kila wakati server error
sa inabid n kuweka mapemAIzi makusudi na inakuwaga jumamosi tu ila jumapili unakuta mtandao umetulia
Mido.Bournemouth
Liverpool
Bayern
Ranges
Man city
Dortmund
Aston villa
Wolfubg
Mido
Hull
Sparta m
Hearts
Dundee
Brighton
All 2+
Bosi ushanipoteza.. Anyway ndo game yenyeweAcha uroho weweeeee.... 50000 uweke timu kumi .... Cheza mwisho4. ..
MPE
Southampton 1.6
Dortmund 1.7
Liverpool 1.55
Brighton 1.44
Unapata odds 6.07 *....dau lako 50000=303,550=/tshs....faida 250,000..... Nimecheza hivi..... Una mtaji wrote huo afu unataka presha ya mamilioni..... Kula faida hata ya 3... Yaani 150000..... Ushauri tu
Mtoto wa inzi hii game balaaaaa liver team yangu imechana mkeka mapemaaaBosi ushanipoteza.. Anyway ndo game yenyewe
m huwa naona bora magoliDaaah ....nimepigwa yote.... Umebaki unapumua mmoja tu.... Ule Wa 2-6.... Kabaki inter Milan tu watoe 2-6.... Nimpige 230000....daaaah
Yaaah!mido na hearts...lakin niliweka uchaguzi sio lazima zoteeMido.
m huwa naona bora magoli
kabisa kila mtu anataka odds fulan hv m huwa natafuta 3 tu bas natia stake yangu ndogoNachezaga magoli tu.... Cha kwanza ...cha beee ...Mwaamwiii..... Nachaguaga goli besenga tu... Ambayo kwa kawaida .... Mechi nyingi zinafikisha goli 2..... Tatizo dau na ....kama una mapana .... Cheza magoli tu.... Kama mwana nliemsauri juu hapo.... Angecheza liver , soton,dortmund na Brighton 2+ ... Angeamka na 150000 ...tatizo alitaka point ndefu nkampa normal win.... Jamani humu tunatofautiana uwezo.... Wengine tunabet 4000 kufukuzia 400000..... Lakini kama unataka kila 1 ikupe 2... Yaaani kila 50000 ikupe 100000 zinapatikana......