Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kam yale yale ya taifa stars kuhama uwanja wa taifa na kwenda unguja nako huko tatu bila.....
 

Attachments

  • 1461424156185.jpg
    29.9 KB · Views: 50
Bosi ushanipoteza.. Anyway ndo game yenyewe
 
Huwa nachoka pale umeunda mkeka mtamu halafu mechi ngumu zinatiki na ulizodhani rahisi zinachana.Nyambafu yao LIVER NA HIRBERNIAN
 
Nachezaga magoli tu.... Cha kwanza ...cha beee ...Mwaamwiii..... Nachaguaga goli besenga tu... Ambayo kwa kawaida .... Mechi nyingi zinafikisha goli 2..... Tatizo dau na ....kama una mapana .... Cheza magoli tu.... Kama mwana nliemsauri juu hapo.... Angecheza liver , soton,dortmund na Brighton 2+ ... Angeamka na 150000 ...tatizo alitaka point ndefu nkampa normal win.... Jamani humu tunatofautiana uwezo.... Wengine tunabet 4000 kufukuzia 400000..... Lakini kama unataka kila 1 ikupe 2... Yaaani kila 50000 ikupe 100000 zinapatikana......
m huwa naona bora magoli
 
kabisa kila mtu anataka odds fulan hv m huwa natafuta 3 tu bas natia stake yangu ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…