Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka kufanya turbo payout....inabuma....mpaka mechi iliyobaki imeanza ya inter...... Dah uhuni huuu.... Sijui ni makusudi au server zipo down..... Daaaah....
kabisa kila mtu anataka odds fulan hv m huwa natafuta 3 tu bas natia stake yangu ndogo
 
Hii ni makusudi... Mimebkiza mechi moja lisaaa linapita mechi haijaanza.... Website yao haifunguki.... LA mama yao
 
Wadau mi uwa napenda Sana uu mchezo wa bet ila nilipo nw nko far sana na twn inakua ngumu sa nilikua naomba msaada wa maelezo ili nwe nabet online mna nilikiaga nokibet premiere betting ya muind sa nw nackia kuna ad mkeka bet kwahyo msaada wa mchanganuo plz
 
Fanya search humuhumu kuna maelezo yakutosha
 
Yaaah!mido na hearts...lakin niliweka uchaguzi sio lazima zotee

Nimemtaja coz kuna mkeka kanichania mkekabet,niliokuwa nina wasiwasi nao wametoa 3+ kabisa ila yeye 2+ tu imemshinda.

Kuna mkeka wa mbet almost 2.6M kaharibu Wolfsburg vs Augsburg katika mechi 10.Huu mchezo very funny..
 
Nimemtaja coz kuna mkeka kanichania mkekabet,niliokuwa nina wasiwasi nao wametoa 3+ kabisa ila yeye 2+ tu imemshinda.

Kuna mkeka wa mbet almost 2.6M kaharibu Wolfsburg vs Augsburg katika mechi 10.Huu mchezo very funny..
Daaah!pole aiseeh!nadhani tunapaswa kuchunguza vizuri hizo timu
 
Daaah!pole aiseeh!nadhani tunapaswa kuchunguza vizuri hizo timu

Hii ya 3+ ya mbet nilijilipua tu na ndo kama ulivyoona mechi nyingi leo Premier League,Bundesliga,Turkey na Uswisi zimetoa 3+ hivyo ingekuwa bahati bahati iliyoshindikana.

Sasa kuhusu huyo Mido kweli sijui ufanye uchunguzi gani kuamini kuwa hawezi toa 2+!

Mwisho wa siku unajikuta unacheka tu.
 
Option ya magoli ndio angalau inapunguza machungu ila sio kila siku kuchaniwa kupo timu nne au chini ya hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…