Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuh watu mna ngekewa aisee mkuu we suburi hela yako hapo tuu
 
Duuh watu mna ngekewa aisee mkuu we suburi hela yako hapo tuu
sunola na Bwana Mapesa


hapo hupewi chochote inatakiwa kwenye list ya kwanza ushinde kuanzia timu tisa(hapa mkiwa wengi unaweza jikuta unalipwa elfu kumi na tatu{ujinga bora ucheza normal}, kumi, kumi na moja na kuuendelea) za chini ni za ziada tu kama kutakuwa na mechi yoyote kati ya zile kumi na mbili imeahirishwa.

nguvu nyingi malipo kiduchu
 
Wadau kwa wale wa mkekabet option ya 2.5 goal zianzie ngap na mwisho ngap
 
Katika 12 za mwanzo hutakiwi kukosa timu zaidi ya tatu mkuu. Hiyo imekula kwako, jaribu siku nyingine au fuatilia post zangu hapa chini
 
ni vizuri kwenye super mix za mbet ukachagua timu za uhakika na mara nyingi ni hizo za reserve na ukaongeza na mawazo yako ili ucheze normal au multiple. Hapo unasubiri mpunga kama ninavyousubiri hapa sasa hivi.
 
Over /under 2.5

Junior Barranqulla- Over

YOKOHAMA vs
Hiroshima -Over

Kawasaki vs Urawa -Under

LEVANTE-Under

DONG THAP VS T& T-Over

MAFRA-Under

Frosinone- Over

EUPEN-Over

Bsc Young Boyz- Over

SILKEBORG-Over

Patro-Over

CELTIC -Over

VADUZ VS BASEL-OVER

GETAFE VS VALENCIA-Over

Choice hizo hapo juu at least kwa 70 % no uhakika, jiokotee
 
wadau eeeh nataka ntie mkeka wa m bet apa msaada kwa wenye nyota zao ntie vip mkeka uwo (coz mgeni kidgo mbet ndo Leo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…