Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hope Mmeamka salaam.naomba kujuzwa kuhusu hii game ya SUPER 1×2 na M-BET
Jana nilibet Kati ya game 17 nimepredict correctly game 12 as follows

Main 12 games

QPR-DRAW, imetoa

WOLVES-WIN, haijatoa

EIBAR-DRAW, imetoa

SHALKE 04-LOSE,imetoa

FC TRUIDEN LOSE,haijatoa

EVERTON-LOSE, imetoa

CHELSEA-WIN,imetoa

LYON-WIN,imetoa

ALBACETE-LOSE,imetoa

RUBIN KAZAN -WIN,haijatoa

BLACKBURN-DRAW, imetoa

St PATRICK-DRAW, haijatoa

Reserve/Extra games

BARCA-WIN,imetoa

ATLETICO MADRID-WIN,imetoa

LOOSERPOOL-WIN,haijato

R.MADRID-WIN, imetoa

PSG-WIN,imetoa

Ukiangalia hapo juu kwenye main list ya timu 12 nimepredict correctly game 8 na kwenye reserve nimepredict correctly game 5 nimemis moja...

Naombeni mnipe position yangu Maana zile rules zao a bit zinachanganya and as of now mkeka haujaandika "LOST"
Mkuu, mi naomba kuelezwa jinc ya kuicheza hiyo SUPER1×2.....
 
Tutoke hivi
 

Attachments

  • 1461489295620.jpg
    1461489295620.jpg
    18.5 KB · Views: 47
Waleee wazee wa win tunaweza kuchukua desa hapa
 

Attachments

  • 1461491340524.jpg
    1461491340524.jpg
    15.3 KB · Views: 38
Monch
Feyernood
Sunderland
Fenebach
Genk
Benfica
Juv
Mainz
Gala
Villarreal
Sevilla
Valencia
National
Oostende
Molde
All 2+
Chagua
 
Over /under 2.5

Junior Barranqulla- Over

YOKOHAMA vs
Hiroshima -Over

Kawasaki vs Urawa -Under

LEVANTE-Under

DONG THAP VS T& T-Over

MAFRA-Under

Frosinone- Over

EUPEN-Over

Bsc Young Boyz- Over

SILKEBORG-Over

Patro-Over

CELTIC -Over

VADUZ VS BASEL-OVER

GETAFE VS VALENCIA-Over

Choice hizo hapo juu at least kwa 70 % no uhakika, jiokotee
Over 2.5 na under 2.5 zina maana gani wadau
 
Back
Top Bottom