Hiyo refence no angalia kwenye a/c yako inaonekana ukisha log in...reference no ndio A/c yakoShukran sasa nkienda kwenye deposit sipat reference number...au inakuwaje mkuu..thanks in advance
Shukran sasa nkienda kwenye deposit sipat reference number...au inakuwaje mkuu..thanks in advance
Hebu log in alafu bonyeza ticket hapo juu utaona account no ndio reference no ama subiria kwenye emailView attachment 342394
Nimejaribu kuweka screenshot yenye maelezo kamili lakn imegoma (for some reasons). Reference number unapewa ukifungua account (wanakutumia kwenye email yako). Au ukilogin utaiona
Done...Nimetia laki moja..no tungi ni mwendo wa kubet till downHebu log in alafu bonyeza ticket hapo juu utaona account no ndio reference no ama subiria kwenye email
Mkuu final score kwenye live bet meridian Msaada plzJuventus amefanikiwa kutetea taji la Serie A kwa msimu wa 5 mfululizo ...
View attachment 342396
Wadau mechi zijazo za Juve inabidi kuwa nae makini, kuna uwezekano mkubwa wasicheze kwa kukamia.
Mkuu final score kwenye live bet meridian Msaada plz
Mechi ya Tottenham nimeweka kipindi cha kwanza lipatikane walau goli moja Over 0.5 ikiwezekana hiyo laki tatu na nusu kibindoni.
Naishi kwa matumaini
Tifauti Kati ya final score na WIN meridian live bettingSijaelewa swali lako mkuu
it needs heart inahitaji moyo japo option uliyo ichagua kwa hizo timu ni nyeupe.
Nimenyoroshwa kama nguo ya sikukuuuuu..
Nancy mjombaaaaa........ Hajapata goli kipindi ya pili....Imekuwa VP tena? Mbona Tot kipindi cha kwanza goli limepatikana na kipindi cha pili pia, na both team zimescore, goli zimefika 2, we ulicheza nn?
Nancy mjombaaaaa........ Hajapata goli kipindi ya pili....