Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimewapa 2+ hao naona HT bila bila ... dalili za kuchana mikeka [emoji16]
 
Kucheza kipindi cha pili goli 1 mpaka2... Inafaida kuu mbili
1) halftime wakitoka sare lazima timu moja wapo ilazimishe ushindi kipindi cha pili
2)akifungwa mtu cha kwanza ... Iliyofungwa lazima ilazimishe kutafuta goli hivyo watafunguka sana wanaweza kufunga au kufungwa tena.... Na ndio mchezo nnaocheza siku hizi
 
Hii option ipo saf niliijarib jana mchaw mmoja ajaondoka na jero langu
1461600162561.jpg
 
Kucheza kipindi cha pili goli 1 mpaka2... Inafaida kuu mbili
1) halftime wakitoka sare lazima timu moja wapo ilazimishe ushindi kipindi cha pili
2)akifungwa mtu cha kwanza ... Iliyofungwa lazima ilazimishe kutafuta goli hivyo watafunguka sana wanaweza kufunga au kufungwa tena.... Na ndio mchezo nnaocheza siku hizi
yakiwa zaidi ya magoli mawili nini maana yake

Vyama Vinapita
 
Kucheza kipindi cha pili goli 1 mpaka2... Inafaida kuu mbili
1) halftime wakitoka sare lazima timu moja wapo ilazimishe ushindi kipindi cha pili
2)akifungwa mtu cha kwanza ... Iliyofungwa lazima ilazimishe kutafuta goli hivyo watafunguka sana wanaweza kufunga au kufungwa tena.... Na ndio mchezo nnaocheza siku hizi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] its a time for Heras Verona to make it happen..make it DRAW..
 
Mechi ya Tottenham nimeweka kipindi cha kwanza lipatikane walau goli moja Over 0.5 ikiwezekana hiyo laki tatu na nusu kibindoni.

Naishi kwa matumaini
 
Back
Top Bottom