Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kesho natoka hiviiiii (hii mikeka kwawanao tumia m-bet )
Mkeka Namba Moja

Arsenal Tula Win
Fc Astra Giurgiu Win
Fakel Voronezh Win

MKEKA NAMBA MBILI

Tottenham Win
Celta Vigo Win
Roma Win
Verona vs AC Milan Draw
 
oya waungwana hivi mechi ikivunjika hapo ela vp?
mf. game LA tranzspro vs fenerbahce dk ya 90 refa kavunja na ilikuwa 4-0 mpunga VP hawa m bet ?
 
1461542008150.jpg
1461542014949.jpg
1461542026829.jpg
waturuki wahuni vp mpunga 90+ refa kala jep game abonded home team 0 transzport away team 4 fernabahce[emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Apo ata sielew mech mbili zinasale zingine wini af zote zmechezwa tayar lkn awajaniandikia lost yan mkeka bado upo ewani msaada jmn c wengine wagen
b23af24fc3368d2c0ddade21a8bfd70a.jpg
00e85b144bf27104c04d248f11b214ef.jpg


Iyo apo msaada wa maelezo apo jnn
 
Apo ata sielew mech mbili zinasale zingine wini af zote zmechezwa tayar lkn awajaniandikia lost yan mkeka bado upo ewani msaada jmn c wengine wagen
b23af24fc3368d2c0ddade21a8bfd70a.jpg
00e85b144bf27104c04d248f11b214ef.jpg


Iyo apo msaada wa maelezo apo jnn
Hawajamalizia kuweka matokeo wakiweka status itabadilika
 
Arsenal msengerema sana.... Kaua Mikeka yangu yoooteeeee..... Ikabidi nkanywe tukonyagi kadhaaa maaanaaaa....... Hali ni tete
Sio kila siku inafaa kwa kamari, usipende kumweka arsenal kwenye mkeka unaoutegemea. Weka mbali kabisa timu hiyo
 
Back
Top Bottom