Ndicho walichofanya...Christiano alifeli medical tests dakika za mwisho so hakuweza kucheza..Hapo nadhani wanaweza kupa odds kadhaa kama wanavofanya game ikiahirishwa eti bwana mapesa inakaaje asipocheza
Nimepewa odds mkuu nadhani ...imesoma green nasubir kitakachoingiaJamn hapo mshikaji kamuweka c.ronald but leo hayupo hata bench je? pesa atarudishiwa
Bet wonHibernian win
Hull city win
Walsaw win
St polten win
Harmmaby lose.[emoji7] [emoji39]
Hele ya kutolea wanaweka cku hiz? maana long tyme cjashindaCC08ZG085 Imethibitishwa, umelipwa Tsh220000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 4:17 PM. Salio la M-PESA ni Tsh230500Tsh2305001
Wako vizuriiii siku hizi..... Nimevuta mpunga SAA 10 jioni .. Imeingia Jana . ....
Play ResponsiblyHele ya kutolea wanaweka cku hiz? maana long tyme cjashinda
Huu mkeka upi..uliotusua..hongera sana mkuu maana soko kwa sasa limekuwa gumu saanaCC08ZG085 Imethibitishwa, umelipwa Tsh220000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 4:17 PM. Salio la M-PESA ni Tsh230500Tsh2305001
Wako vizuriiii siku hizi..... Nimevuta mpunga SAA 10 ...vinuuu...Imeingia Jana hiyohiyi. ....bado nipo msibani....
ambazo ziko home zimepewa odds kubwa sana hadi naogopa kuwapa wins timu za awayNorway cup inabidi tucheze nayo kwa umakini sana. upepo unanionesha timu hizi hazifungani magoli mengi. hvyo bora tucheze na option ya both teams to score alafu tuchague no. sababu timu za norway ni nadra sana kufungwa alaf zikaswazisha na kuongeza goli.
ata mm mkuu tmu zote zmetk ila uyu rangers sjui n nn klmpataRangers kanichania mkeka