Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya sasa Norway cup
25 games leo
Basi 2.5 zipo lukuki ila odds ni za 1.20-1.51
 
CC08ZG085 Imethibitishwa, umelipwa Tsh220000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 4:17 PM. Salio la M-PESA ni Tsh230500Tsh2305001

Wako vizuriiii siku hizi..... Nimevuta mpunga SAA 10 ...vinuuu...Imeingia Jana hiyohiyi. ....bado nipo msibani....
 
CC08ZG085 Imethibitishwa, umelipwa Tsh220000 kutoka kwa 174449 - MERIDIAN BET-B2C tarehe 174449 - MERIDIAN BET-B2C saa 4:17 PM. Salio la M-PESA ni Tsh230500Tsh2305001

Wako vizuriiii siku hizi..... Nimevuta mpunga SAA 10 jioni .. Imeingia Jana . ....
Hele ya kutolea wanaweka cku hiz? maana long tyme cjashinda
 
Huu mkeka upi..uliotusua..hongera sana mkuu maana soko kwa sasa limekuwa gumu saana
 
Norway cup inabidi tucheze nayo kwa umakini sana. upepo unanionesha timu hizi hazifungani magoli mengi. hvyo bora tucheze na option ya both teams to score alafu tuchague no. sababu timu za norway ni nadra sana kufungwa alaf zikaswazisha na kuongeza goli.
 
Ajax Cape Town - Mamelodi Sundowns 1.67 Ajax Cape Town Lose
Jonkopings Sodra - Falkenbergs Ff 1.62 Jonkopings Sodra Win
Orlando Pirates - Polokwane City 1.41 Orlando Pirates Win
Lille - Angers 1.63 Lille Win


Ushauri hapo juu?
 
ambazo ziko home zimepewa odds kubwa sana hadi naogopa kuwapa wins timu za away
 
Mtoto wa nzi tupia mikeka ya leo tutembelee nyota maana wengine Bundi analia dirishani wiki nzima hii. Alafu mbaya zaidi timu kubwa ndio zinatuharibia. Yan kama vile wanapewa 10% na muhindi.
 
Asia Cup
Hapa timu 6 za mwanzo ni over 2.5
Mbili za mwisho 0-2
 
Orlando Pirate vs Polkwane tips
Orlando pirates last 3 home performance ni kwamba ameshinda zote, lakini Polkwane Last 6 away performance ame draw 2 na kufungwa 4.Hui inamaanisha timu ya n yumbani ipo karibu Kabisa na ushindi.I bet FT 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…