Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rangers,malmo,haka,gais,ayr,dundee utd,hoffenheim,wycombe,watfod,dortmund....akishinda dortmund mkeka umekamilika nakula hela nzuri...leo naweza kulala na laki 6 ya meridian
tengeneza mwingine muue dotmund kwa maana ya kulinda
BvB sekunde ya kumi kafa moja
Ahahah unampa presha.. Laki 6
Mi leo mkeka mmoja nawaua
Manchester
Dotmund
St. Etienne
Naweka buku tu.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Rangers,malmo,haka,gais,ayr,dundee utd,hoffenheim,wycombe,watfod,dortmund....akishinda dortmund mkeka umekamilika nakula hela nzuri...leo naweza kulala na laki 6 ya meridian
Oooooh
Uliweka bei ngapi mkuuu? Mie nataka nijilipue kesho leo mikeka yote chali
ni kifunga swala mzeee......dortmund kakaaa mapemaaaaa....Oooooh
Uliweka bei ngapi mkuuu? Mie nataka nijilipue kesho leo mikeka yote chali
2500...Naona dortmund ananilaza njaa
Kesho mkeka huu hapa
Totternham
Barcelona
Verona
Sampdoria
Lazio
Najilipua na 20,000/=
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums