Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona mi jana baada tu ya mechi kuisha waliniwekea ubwabwa wangu. I thought m-bet ndo huwa wacheleweshaji
 
M bet machoko hao unaweza kula afu tiketi ikawa inasoma payed mybe mpaka kesho yake mchana
 
Wanajamvi amani iwe kwenu Nina jambo nataka nililete kwenu mnisaidie tafadhali Jana kuna mechi imekuwa abandoned yaani imevunjika hapo inakuwaje kama IPO kwenye mkeka kwani zile nyingine zilinyooka isipokua hiyo tu ambayo haikumalizika
 
Swali hili limo humu tayari, rudi pg no. 3002 unaweza kupata ufafanuzi.
 
Mbona page ya mwisho 1500 mkuu
 
hii ilinitokea weekend inakuwa hivi kama kipindi cha kwanza unapewa odd 1. kama kipindi cha pili matokeo yanabaki hivyohivyo .hii ni kama mechi ailudiwi ndani ya siku mbili zijazo kama inarudiwa unasubiri ichezwe.
 
kwanzia weekend hii nanza kucheza timu 1 au mbili kama possibility ya ushindi n kubwa, stake ntanzia 20k na kuendelea
 
Asee nimecheki sijaikuta kama dodoso lolote nambie please kwani sielewi mwanajamvi
Inategemea mechi imevunjika mda gani na ww uliweka option gani mfano kama uliweka kipindi cha 1 na matokeo yakaenda sawa mechi ikivunjika kipindi cha pili utapata pesa yako kama kawaida au kama uliweka cha 1 na matokeo yakaenda fyongo mechi ikivunjika kipindi cha pili umeliwa na kama ulibet full time na mechi ikivunjika unapewa odd 1 nadhani
 
Niliweka gg na mechi ilivunjika dakika ya 88 mechi ikiwa 0-0 hapo imekaaje MTU wangu
 
Mbona page ya mwisho 1500 mkuu
Basi mimi hizi page sizielewi vizuri[emoji116]
1461828520488.jpg
 
GG huwa inamaanisha nn coz huwa siichez kwakua siielewi
GG- Both teams score during the match
NG- At least one team does not score during the match.
IGG- Both teams score during the first half
IIGG- Both teams score in the second half
GG GG - Both teams scores in both halves...
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi hapo nadhani Victorjiwe atapewa odd moja kwakua aliweka GG na game ilivurugwa ila angekuwa 1GG Ingekuwa lost

Back
Top Bottom