M bet machoko hao unaweza kula afu tiketi ikawa inasoma payed mybe mpaka kesho yake mchanaMbona mi jana baada tu ya mechi kuisha waliniwekea ubwabwa wangu. I thought m-bet ndo huwa wacheleweshaji
Swali hili limo humu tayari, rudi pg no. 3002 unaweza kupata ufafanuzi.Wanajamvi amani iwe kwenu Nina jambo nataka nililete kwenu mnisaidie tafadhali Jana kuna mechi imekuwa abandoned yaani imevunjika hapo inakuwaje kama IPO kwenye mkeka kwani zile nyingine zilinyooka isipokua hiyo tu ambayo haikumalizika
Wanajamvi amani iwe kwenu Nina jambo nataka nililete kwenu mnisaidie tafadhali Jana kuna mechi imekuwa abandoned yaani imevunjika hapo inakuwaje kama IPO kwenye mkeka kwani zile nyingine zilinyooka isipokua hiyo tu ambayo haikumalizika
Mbona page ya mwisho 1500 mkuuSwali hili limo humu tayari, rudi pg no. 3002 unaweza kupata ufafanuzi.
hii ilinitokea weekend inakuwa hivi kama kipindi cha kwanza unapewa odd 1. kama kipindi cha pili matokeo yanabaki hivyohivyo .hii ni kama mechi ailudiwi ndani ya siku mbili zijazo kama inarudiwa unasubiri ichezwe.Wanajamvi amani iwe kwenu Nina jambo nataka nililete kwenu mnisaidie tafadhali Jana kuna mechi imekuwa abandoned yaani imevunjika hapo inakuwaje kama IPO kwenye mkeka kwani zile nyingine zilinyooka isipokua hiyo tu ambayo haikumalizika
Rudi page kama 7 nyumaMbona page ya mwisho 1500 mkuu
Asee nimecheki sijaikuta kama dodoso lolote nambie please kwani sielewi mwanajamviRudi page kama 7 nyuma
Inategemea mechi imevunjika mda gani na ww uliweka option gani mfano kama uliweka kipindi cha 1 na matokeo yakaenda sawa mechi ikivunjika kipindi cha pili utapata pesa yako kama kawaida au kama uliweka cha 1 na matokeo yakaenda fyongo mechi ikivunjika kipindi cha pili umeliwa na kama ulibet full time na mechi ikivunjika unapewa odd 1 nadhaniAsee nimecheki sijaikuta kama dodoso lolote nambie please kwani sielewi mwanajamvi
Niliweka gg na mechi ilivunjika dakika ya 88 mechi ikiwa 0-0 hapo imekaaje MTU wanguInategemea mechi imevunjika mda gani na ww uliweka option gani mfano kama uliweka kipindi cha 1 na matokeo yakaenda sawa mechi ikivunjika kipindi cha pili utapata pesa yako kama kawaida au kama uliweka cha 1 na matokeo yakaenda fyongo mechi ikivunjika kipindi cha pili umeliwa na kama ulibet full time na mechi ikivunjika unapewa odd 1 nadhani
Basi mimi hizi page sizielewi vizuri[emoji116]Mbona page ya mwisho 1500 mkuu
Pages inategemea na setting kwenye cm yako zinaweza kuwa 10 texts per page 30, 50 n.kBasi mimi hizi page sizielewi vizuri[emoji116] View attachment 342889
GG huwa inamaanisha nn coz huwa siichez kwakua siielewiNiliweka gg na mechi ilivunjika dakika ya 88 mechi ikiwa 0-0 hapo imekaaje MTU wangu
Soma rules hizi mbili[emoji116]Niliweka gg na mechi ilivunjika dakika ya 88 mechi ikiwa 0-0 hapo imekaaje MTU wangu
Niliweka gg na mechi ilivunjika dakika ya 88 mechi ikiwa 0-0 hapo imekaaje MTU wangu
GG- Both teams score during the matchGG huwa inamaanisha nn coz huwa siichez kwakua siielewi
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi hapo nadhani Victorjiwe atapewa odd moja kwakua aliweka GG na game ilivurugwa ila angekuwa 1GG Ingekuwa lostGG- Both teams score during the match
NG- At least one team does not score during the match.
IGG- Both teams score during the first half
IIGG- Both teams score in the second half
GG GG - Both teams scores in both halves...
GG- Both teams score during the match
NG- At least one team does not score during the match.
IGG- Both teams score during the first half
IIGG- Both teams score in the second half
GG GG - Both teams scores in both halves...
1 odd utapewa winNiliweka gg na mechi ilivunjika dakika ya 88 mechi ikiwa 0-0 hapo imekaaje MTU wangu