Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

,

Heavyweight tayari wameandika lost kwamba nimepigwa hii inakuwaje wadau naweza pataje haki yangu
we umeliw kwa sheria gemu ikivunjika second half matokeo yanasomeka vilevile yalivyo 0-0 km kipindi cha kwanza ndo unapewa odd1 .nilovyosoma Mimi sheria za meridians nahisi zinaingiliana na mbet
 
Leo naanza hivi
Hacken Win
Shakhtar win
Villreal Draw
Djurgarden Win
Total Odds 11

Changamkia fursa
 
Twende hapa.

Villareal WIN
Shakhtar WIN
Fc inter turku WIN
Lahti WIN
Zenit WIN
Sofia WIN
Partizan belgrade WIN
CSKA MOSCOW Over 1.5
 
Mkeka wa pili unasomeka hivi
Zenit Win
Cask Moscow Under 3.5
Helsingborg Over 2.5

Goodluky Fellas[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Twende hapa.

Villareal WIN
Shakhtar WIN
Fc inter turku WIN
Lahti WIN
Zenit WIN
Sofia WIN
Partizan belgrade WIN
CSKA MOSCOW Over 1.5
Toa Villarreal Mkuu,,,,au cheza option ya magoli mechi haina matokeo ya ubavu mmoja,,,
 
wakuu nimefanya withdraw meridian inachukua muda gani kutumiwa pesa mwenye contacts zao anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…