tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
pole sana mkuu. koln wako vzr sana na kama wasingepunguzwa wangeshinda game.Huyu Augsburg nae ni jipu, atashindwaje kuwafunga Koln wakiwa pungufu toka dk ya 56 ?!!! af yuko nyumbani hata kagoli ka moja kwl??? (nawaza kwa sauti) [emoji12][emoji12][emoji12]
Sawa, kesho nayo ni siku.