pole sana mkuu. koln wako vzr sana na kama wasingepunguzwa wangeshinda game.Huyu Augsburg nae ni jipu, atashindwaje kuwafunga Koln wakiwa pungufu toka dk ya 56 ?!!! af yuko nyumbani hata kagoli ka moja kwl??? (nawaza kwa sauti) [emoji12][emoji12][emoji12]
Sawa, kesho nayo ni siku.
mkuu, mbona timu chache hivyo umeweka dau kiasi gani?Mkeka no. 3
Giresunspor-OVER 2.5
Besiktas- WIN
Molde Fk- WIN
SK Sturm Graz- WIN
Good lucky Fellaz...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
sio bahat yangu mkuuPole kwa kuchelewa kureply man ... hiyo ni ligi ya Australia. Huwa inachezwa asubuhi sana. Hawa jamaa aisee huwa wanafungana km hawana akili vizuri. Kwa wale wanaopenda kuweka ile option ya 3+ ndo mwake humu. Hebu check mechi za leo ambazo zimeisha tyr ..
View attachment 343771
hizo mechi zilianza saa mbili na nusu asubuhi. Mi sikuwa na kitu, ningetupia 20 saiv ningekuwa na kilo na ushee 🙂🙂
mkuu, hapa JIPU linaweza kuwa madrid...kumbuka juma5 ana mechi ya uefa na hakufanya vzr away, so hayupo vzr kisaikolojia.Jaman leo vipi madrid na barca naona hamuwazungumzii pana mchawi nini kat yao
Madrid kama sio kufa basi sare leoJaman leo vipi madrid na barca naona hamuwazungumzii pana mchawi nini kat yao
hero de mmar cheki hapo nilipobonyeza [emoji116]mkuu, hata kama 2+ haipo kwenye option wee andika tu mashine itasoma. hakuna mechi inayokosa kuwa na option ya 2+. hata 0-3 haipo kwenye dodoso lakini ukiandika huwa inatoka. umeona eeh?
[emoji57] [emoji57]
Download application yakeWakuu mim m bet sijui kwangu ndo tatizo peke take au laah. Nkiifungua kwenye browser nayofungulia kawaida inafunguka kama nafungulia kwenye opera min yan mlolongo wake unaboa kishenzi yan vp kuna aliyekumbwa na dhahama hii.
Wakuu mim m bet sijui kwangu ndo tatizo peke take au laah. Nkiifungua kwenye browser nayofungulia kawaida inafunguka kama nafungulia kwenye opera min yan mlolongo wake unaboa kishenzi yan vp kuna aliyekumbwa na dhahama hii.
Tumia chromeWakuu mim m bet sijui kwangu ndo tatizo peke take au laah. Nkiifungua kwenye browser nayofungulia kawaida inafunguka kama nafungulia kwenye opera min yan mlolongo wake unaboa kishenzi yan vp kuna aliyekumbwa na dhahama hii.