Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Benifica jana kaniua kwa kutotoa capNataka handicap tuliozoea ya goli mbili ,option ipoje mkeka bet?
huu msala sasa imenibidi niunde mkeka mwingneHuyu mserbia sijui crevna zvevda.... Ameshaharibu sherehe...
Ngoja nitoke na hao wawili....
Pole aiseenilimpa apate goli cha kwanza
acha nitulie kwanza urawa alinipa presha baadae akatoa sa huyu mserbia aiaiaiPole aisee
Mkuu ila hapo kwa Bayern kuna under 2.5..[emoji84]Ngoja nitoke na hao wawili....
yote yanaweza tone ASA kwa lango LA Bayern.Mkuu ila hapo kwa Bayern kuna under 2.5..[emoji84]
Kapata cha pili..... Tatizo kwenye simu hatuchani au ulienda kibandani kwao.... Chanaaaachanaaaaaanilimpa apate goli cha kwanza
anapigwa 2 mtungi[emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bayern anakufa
nikichek ticket nacheka tu sa utashangaa game zilzobak zote zitatoa.Kapata cha pili..... Tatizo kwenye simu hatuchani au ulienda kibandani kwao.... Chanaaaachanaaaaaa
wacha hizo odds zinipiteBayern Vs A.Madrid.....
Penalty....Yes...Odd. 4.
Stake 200,000
Return 800,000
This is possible win 100%