Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hawa wajapan sithubutu kuwafuatilia tenaa

Hao waJapani huwa siwaelewi kbs aseee ... hata ukicheza magoli ni kizungumkuti ... siku nyingine wanafungana sana cku nyingne kutoa 0-0 ni kufikia tu. [emoji57][emoji57]

Nashukuru Melbourne Victory & Suwon wamefanya mkeka uendelee kupumua. Namsubiri huyu mchina nae na kagoli kake kamoja daaah [emoji134][emoji134]
 
Urawa nae nasubiri kamoja ...wote walewale tu
 
Screenshot_2016-05-03-15-34-21.png
 
Wale wataalamu wa game mbili mpaka tatu plz naombeni mnipe desa leo nataka nilipuke na stake ya kilo
 
Sikh imenibana now natoka job sina mkeka hata mmoja..nataka timu nne tuu nikachane laki moja...help plzzzzzzz
 
Timu za japan usithubutu kucheza ushindi, hizo cheza magoli tu 0 - 3
 
Ngoja nitoke na hao wawili....
 
Attachments

  • Screenshot_2016-05-03-19-24-55.png
    Screenshot_2016-05-03-19-24-55.png
    28.7 KB · Views: 56
Back
Top Bottom