Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

bayern alinichania mikeka miwili week end. alibaki peke yake, ilibidi nicheke tu maana mchezo hautaki hasira huu.
Leo sijamuweka sehemu yeyote ya muhimu bali nimemuua kwenye mkeka huu kulipiza hasira zangu.
Bayern lose, Galway utd win, shanghai sipg fc win weka buku 2 tu ili usimalize mtaji kipumbavu.
 
Possible win sh. Ngap
 
Daaah baada ya Nancy kufanya yake...ikabidi nirudi tu usiku nizuie magoli kipindi cha kwanza .... Lisizidi goli moja kipindi cha kwanza.... At least ka5000 kamerudi na faida....
ase c Jana nikafuata mfumo wako WA magoli 2-6 dadaq bado timu zinakatoa magol meng mno gefle anapigwa 6?????
 
a9a6c9735a2a8b8a91ee1b3afc8c0598.jpg
Hongera,,Fanya mpango uwe na kadi ,,unajima bonus ya maana saana Kwa mpunga wako,,,
 
Suwon Bluewings (kor) Lose
Tractor Sazi (irn) Win
Pakhtakor (uzbek) win
Limerick Fc Lose
Urawa (jpn) Win
Brattvag Lose

Wadau leo mm sijichoshi sana. Nimeingia darasani nimetoka na hilo tilio kwa 1000, likitiki mianne na inahusu. hao limerick wamepewa odds nyingi ila kumfunga Galway utd ni kazi sana.
Odds zinatisha mkuu. [emoji87]
 
Mungu bariki kazi ya mikono yangu.....
 
Attachments

  • Screenshot_2016-05-03-12-26-39.png
    Screenshot_2016-05-03-12-26-39.png
    36.2 KB · Views: 44
Back
Top Bottom