Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

a9a6c9735a2a8b8a91ee1b3afc8c0598.jpg
 
MKEKA NAMBA MOJA
BRIGHTON v DERBY (DRAW)
BURNLEY v QPR (BURNLEY WIN)

MKEKA NAMBA MBILI

WALSALL v FLEETWOOD TOWN (WALSALL WIN)
VALENCIENNES v NANCY (NANCY WIN)
MALAGA v LEVANTE (MALAGA WIN)


MKEKA NAMBA TATU

DUNDEE v 6DUNDEE UTD (DUNDEE WIN)

CHELSEA v TOTTENHAM (DRAW)/ (GG)

NAPOLI v 1 ATALANTA (NAPOLI WIN )
Saluti kwako mkuu Teja junior.Prediction zimeenda shule[emoji41]
 
Sijifu hapa nimetisha wakuu tena hizo mechi zote ni ngumu ila 90%zimetoa hapo kwenye Draw nimetisha zaidi Mkeka namba mbili tu umezingua
MKEKA NAMBA MOJA
BRIGHTON v DERBY (DRAW)
BURNLEY v QPR (BURNLEY WIN)

MKEKA NAMBA MBILI

WALSALL v FLEETWOOD TOWN (WALSALL WIN)
VALENCIENNES v NANCY (NANCY WIN)
MALAGA v LEVANTE (MALAGA WIN)


MKEKA NAMBA TATU

DUNDEE v 6DUNDEE UTD (DUNDEE WIN)

CHELSEA v TOTTENHAM (DRAW)/ (GG)

NAPOLI v 1 ATALANTA (NAPOLI WIN )
 
Sijifu hapa nimetisha wakuu tena hizo mechi zote ni ngumu ila 90%zimetoa hapo kwenye Draw nimetisha zaidi Mkeka namba mbili tu umezingua
Leo nimesafiria nyota yako mkuu.
Cheers [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Jamaan naomba kuuliza play super kunatim 17 kati 17ukapata9 unapewa sh. Ngapi??
 
Daaah baada ya Nancy kufanya yake...ikabidi nirudi tu usiku nizuie magoli kipindi cha kwanza .... Lisizidi goli moja kipindi cha kwanza.... At least ka5000 kamerudi na faida....
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-03-08-31-16.png
    Screenshot_2016-05-03-08-31-16.png
    26.8 KB · Views: 42
  • Thanks
Reactions: PNC
Siwaelewi
Limerick win 1.38
Galway win 5.5...!!!??

Kuna shida hapa ...hii ni mechi ya Cup.... Limerick anaongoza daraja LA kwanza ...Galway yupo ligi kuu na ni wa4 nyuma ya Dundalk Cork na Derry hivyo ni mkali ....swali kwa nini apewe odds kubwa hivi!!?? Yaani hata ukimpa x2 ana odds 2.27 kuna namna..... Ukiangalia mechi 3 zilizopita galway kashinda 2 Limerick 1....
 
Siwaelewi
Limerick win 1.38
Galway win 5.5...!!!??

Kuna shida hapa ...hii ni mechi ya Cup.... Limerick anaongoza daraja LA kwanza anaongoza ligi ...Galway yupo ligi kuuza na ni wa4 nyuma ya Dundalk Cork na Derry hivyo ni mkali ....swali kwa nini apewe odds kubwa hivi!!?? Yaani hata ukimpa x2 ana odds 2.27 kuna namna..... Ukiangalia mechi 3 zilizopita galway kashinda 2 Limerick 1....
sasa si ndio vizuri ana odds kubwa ili upate pesa nyingi
 
Suwon Bluewings (kor) Lose
Tractor Sazi (irn) Win
Pakhtakor (uzbek) win
Limerick Fc Lose
Urawa (jpn) Win
Brattvag Lose

Wadau leo mm sijichoshi sana. Nimeingia darasani nimetoka na hilo tilio kwa 1000, likitiki mianne na inahusu. hao limerick wamepewa odds nyingi ila kumfunga Galway utd ni kazi sana.
 
Back
Top Bottom