Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Mbona mnakuwa waoga wa kushare mikeka yenu mlioshinda itupe hamasa??? ss mnatuandikia tu meseji za nn?
Rusheni mikeka mlioshinda watu tupate hamasa/tujifunze kitu!
Hehehehhe nikiweka yangu kila siku itakuwa mbaya
Jana faida kidogo sana
root jana aliweka jero single bet.Weka tu kamanda, hawezi jua inatu-inspire kiasi gani. Mbona Mtoto wa Inzi anatupiaga hata akishinda 14,000/=?? 🙂🙂 sio lazima ushinde mamilioni siku hazilingani .. teh teh teh
root jana aliweka jero single bet.
kiddin
😛😛😛😛😛😛
apan huwa waajabu sana sumtym wanatoa magoli menginimefatlia lig ya japana, option nzuri ni gol 0-3 ni wagumu kufungana
Swali la uelewa,nimefatlia lig ya japana, option nzuri ni gol 0-3 ni wagumu kufungana
hiyo ni under 3.5 ,mechi ikitoka 0-0 umeshindaSwali la uelewa,
Ukiweka goli 0-3 halaf mechi ikaisha ikiwa 0-0, umeshinda au umepigwa
nimefatlia lig ya japana, option nzuri ni gol 0-3 ni wagumu kufungana