Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbona mnakuwa waoga wa kushare mikeka yenu mlioshinda itupe hamasa??? ss mnatuandikia tu meseji za nn?
Rusheni mikeka mlioshinda watu tupate hamasa/tujifunze kitu!

Hehehehhe nikiweka yangu kila siku itakuwa mbaya
Jana faida kidogo sana
 
Hehehehhe nikiweka yangu kila siku itakuwa mbaya
Jana faida kidogo sana


Weka tu kamanda, hawezi jua inatu-inspire kiasi gani. Mbona Mtoto wa Inzi anatupiaga hata akishinda 14,000/=?? 🙂🙂 sio lazima ushinde mamilioni siku hazilingani .. teh teh teh
 
Weka tu kamanda, hawezi jua inatu-inspire kiasi gani. Mbona Mtoto wa Inzi anatupiaga hata akishinda 14,000/=?? 🙂🙂 sio lazima ushinde mamilioni siku hazilingani .. teh teh teh
root jana aliweka jero single bet.
kiddin
😛😛😛😛😛😛
 
nimefatlia lig ya japana, option nzuri ni gol 0-3 ni wagumu kufungana
 
nimefatlia lig ya japana, option nzuri ni gol 0-3 ni wagumu kufungana


Kiukweli mimi hawa wajapan sijawahi kuwaelewa kabisa, yani hawatabiriki ... check game zinazoendelea saiv, wameshatoa 3+



Next time hukawii kuwaona wametoa 0-0. Yani wana moods ka madem 🙁
 
Najilipua Sasa. Madrid win, marienham win, hjk Helsinki win. Hapo siongezi chumvi wala binzari.
 
Jaman jana nmekula meridian elf 20 na ndio mara ya kwanza kutumia meridian sasa nmewithdraw hela na inaonekana nmekatwa na option ya kuchukulia nliweka mpesa mpaka saiv kimya wenye ujuz na meridian msaada tafadhar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…