Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nilitoa angalzo mapema kuwa amepewa odds nyng sn!Zile odds nazifuataga na 500 tu.jana niliweka lazio(1.15).udinese(1.3) na benfica(1.18) nikaweka elf 30.nimepata elf 52.BAADA YA MAN U KUNICHANIA WA KWANZA NIKAWEKA ELF 10 KWA BENFCA NA MONACO.NIMEPATA 24190.NILIMPA MONACO NIKISEMA WAMEZOEA KUNICHANIA WACHANE NA HUU
 
Naomben ushaur nataka nilipuke na r madrid na a madrid?timu 2 niweke elf 20 nipate elf 29 kesho
 
thanx mkuu but game ya man c ni more 50/50.Mtazamo wangu pelegrin akipanga km v ncastle lìv wanashnda.

ni kweli game iko ngumu sana ila kwa mancity anapokua kwake kushnda ni 90%. Angekua chelsea sawa ingekua ngum coz jamaa wakiamua kupak contena si mchezo. Ila kwa timu kama liva haina ngome madhubuti kupak contena
 
ahsante kwa ushaur mkuu!Ngoja niwape elf 10 badala ya elf 20!R madrid na A madrd WAKICHANA NEXT WKEEND WATANIRUDISHIA PESA YANGU
 
hivi wale ambao mshadeposit pesa kwenye makampuni makubwa kama Ladbrokes, Bwin, Bet365 n.k kwa kutumia visa card au mastercard....mnatumia benki gani? maana mimi hawa CRDB wananizingua tu, transaction inagoma...msaada plz
 
Gks beltachow kadraw kwahiyo mliomuweka majangaaa hayo tayari
 
At the moment ninacheki game ya fenerbahce na galatasaray 42'min , kipindi cha pili ntaangalia uwezekano wa kuwekeza
 
Daa ! Leo majanga nimepigwa Gks tayari lol

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hivi wale ambao mshadeposit pesa kwenye makampuni makubwa kama Ladbrokes, Bwin, Bet365 n.k kwa kutumia visa card au mastercard....mnatumia benki gani? maana mimi hawa CRDB wananizingua tu, transaction inagoma...msaada plz
Mkuu mi huwa natumia master card na visa card za NBC kudeposit bet365 hazina complication hizi. Ila ishu inakuja unapofanya your first withdraw
 
Normal first withdraw lazima ichukue mda 5-7days after that siku 2-3
 
Mkuu mi huwa natumia master card na visa card za NBC kudeposit bet365 hazina complication hizi. Ila ishu inakuja unapofanya your first withdraw

asante mkuu, vipi kadi za hawa NBC zinakuwa zipo linked moja kwa moja na online purchasing...au mpaka activation? hawa CRDB wamenichosha kwenye activation
 
Na mimi nasubiri majibu manake nina card ya NBC na huwa nahofia kufanya manuva kwa betting za nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…