Exactly fibonacci hizi kadi za NBC ziko enabled moja kwa moja kulipia online hamna usumbufu kama wa CRDBasante mkuu, vipi kadi za hawa NBC zinakuwa zipo linked moja kwa moja na online purchasing...au mpaka activation? hawa CRDB wamenichosha kwenye activation
Bet365 kwenye iyo first withdraw hawahitaji documents kama ID?
Ngoja nisepe manake hapa hata sijui kinazungumziwa kitu gani.
Braga kanichania mkeka kudadadeki nimekosa 270,000 hivi hivi Loooh!!!
Ngoja niwe kimyaaaa. Atletico kaniua
Mkuu Kwa Bet365 ,ni lazima waombe ID kama driving licence, national id au birth certificate
Hela ipo leo kwny carling cup
Mkuu labda kwa hizo betting site zingine lakini sio kwa bet 365. Mi mbona nilijiunga mwezi wa saba na bado walihitaji vitambulisho na wakanitumia na barua yenye postal verification code (nikipata mda nitaupload picha ya hiyo barua) hata hivyo nadhani inategemea na nchi uliyopoMkuu hio ilikua zamani, sasa hvi bank details zako unazowapa zinafanya verification automatic so hakuna longo longo tena,
Exactly fibonacci hizi kadi za NBC ziko enabled moja kwa moja kulipia online hamna usumbufu kama wa CRDB
Vip kuhusu usalama mkuu? maana mshahara unapitia NBC , wajanja wasijekuwa wananiwahi...
Vip kuhusu usalama mkuu? maana mshahara unapitia NBC , wajanja wasijekuwa wananiwahi...
Acc yangu meridian ina elf 50 leo naicheza yote kwny carling na ucl...wafe meridian au nife mm
Na kwa muhindi naenda kucheza vilevile
Acc yangu meridian ina elf 50 leo naicheza yote kwny carling na ucl...wafe meridian au nife mm
Na kwa muhindi naenda kucheza vilevile