Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
chelsea si walishacheza
usitumie hasira ndg,Ukiweka hyo 50 then tafuta pain killer.
Acc yangu meridian ina elf 50 leo naicheza yote kwny carling na ucl...wafe meridian au nife mm
Na kwa muhindi naenda kucheza vilevile
NEWCASTLE....MAN UTD.... NORWICH....DERBY....BOURNEMOUTH...SWANSEA.........LEICESTER NA WEST BROM...... inakuaje hapo wakuu...dau 6300...pocbo win 112000
mkuu mkeka mkubwa huo, kata kidogo alafu ongeza mpunga, by the way jina lako noma, hahahaha
meridian bana wananipa tabu wana mechi nyingi sana...... Nchagulie nne hapa....
Wakuu msibet kwa kuangalia jina la timu, tuangalie price, whats the point ya kubet Man utd vs Mk Dons na wakati price ya Man utd kushinda ni very cheap, unrisk 10.000 kwa kupata 12.000?
Mkuu mkeka mkubwa huo, kata kidogo alafu ongeza mpunga, by the way jina lako noma, hahahaha
Mimi mambo ya online nilitaka nijiunge ila nisjaghairi nitaendelea na makaratas
usitumie hasira ndg,Ukiweka hyo 50 then tafuta pain killer.
hahaha kumbe tupo wengi.. Mi huwa nacheza live ofisin kwao kabisa hata game za usiku mnene
Mkuu sometimes hi theory yakusema timu nyingi sio kweli, kama kuna mtu anaweka timu moja na anapigwa hapo vipi sasa? mie nimewai kuweka timu 32 na zote nikapiga hela nzuri tu, ukisema apunguze timu what if hizo timu mbili alizochukua ndo zinapoteza zote? kuna mtu alijua Atletico ata Draw jana? hapa ni mwendo wa bahati tu