Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi Carpi namhesabia kama ameshuka tu bwana,maana PALERMO ana point 26 ambapo inamlazimu ashinde mechi hiyo na kumfanya awe na point 39 sawa na UDINESE ambapo hata CARPI akishinda bado atakuwa na point 38 nyuma ya UDINESE na PALERMO,hivyo niseme mpaka sasa UDINESE kabaki ina maana hana cha kupoteza,yeah, maybe anything wrong can happen according to my prediction,but still i vote for UDINESE to win.
 
naona mechi ya Man utd imesimamishwa au macho yangu mabovu wakuu??
 
Aiseee na mm nina hizo feelings ... yule Ayew lazima acheke na Joe Hart leo.



Said it before, Andrew Ayew lazima acheke na Joe Hart leo, HT: Swansea 1-1 Man City

Matokeo ya Newcastle yananipa raha sana mm km mshabiki wa Arsenal [emoji12]

HT: N'castle 2-0 Spurs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…