Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asante zenit 2 umeshinda japo kwa mbinde ungenichania mkeka wangu mapeeeemaaa
 
Sijui kwanini sunderland kapewa point nying hivyo wakat mechi za mwisho hizi yuko moto vibaya...au mhindi anataka tumuogope kumfuata?? ila mkuu liver anaweza kuharibu mkeka hapo ila lolote linaweza tokea
sunderland walitumia nguvu nyingi sana kushinda mechi iliyopita, leo watarelax...ndio maana wamepewa points lukuki.
 
ImageUploadedByJamiiForums1463318799.039455.jpg
 
Villarreal Hana cha kupoteza jamani. Kuweni nae makini. Bora hata Liverpool kwa mbaliiii. Liver na Villarreal ni wa kuwaweka kwenye mkeka mmoja tu, yasije kutukuta ya dortmund jana.
mkuu, liver leo wanacheza kikosi cha pili....malengo yao haso yako kwenye fainali ya EUROPA league ambayo wanatakiwa washinde ima faima!
 
sunderland walitumia nguvu nyingi sana kushinda mechi iliyopita, leo watarelax...ndio maana wamepewa points lukuki.



Hakuna timu iliyotumia nguvu nyingi kama Leicester City lkn walikwenda wanashinda game baada ya game mpk wakabeba ndoo
 
Ni kweli Udinese ni kibonde lakini naamini hawezi kukubali kushuka daraja mzee,maana CARPI ashashuka tyr.
carpi bado hajashuka mkuu...kimahesabu, bado anaweza kubaki ligi kuu endapo atashinda na kuombea walio juu yake washindwe.
 
Hakuna timu iliyotumia nguvu nyingi kama Leicester City lkn walikwenda wanashinda game baada ya game mpk wakabeba ndoo
walijituma kwa kuwa walikuwa wanataka kubeba ndoo vizuri...leo huenda wakachezesha kikosi cha pili...kwa hiyo chelsea wana uwezekano mkubwa wa kushinda mechi hii ya leo.
 
Back
Top Bottom