Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kweli hii ni bahati nasibu.


Inabidi nicheke tu ingawa hayachekeshi.Safari ya toka 2:45 imeishia ukingoni..Lorient vs Ajaccio.
pole sana mkuu. hebu nami nitazamie majanga yaliyonikuta hapa:

upload_2016-5-15_0-20-15.png
 
80% nahisi lyon wamepanga matokeo, haiwezekani wafungwe goal zote zile na team iliyopoteza match 4 mfululizo. Yani italia na ufaransa kwa kamali sijui wataacha lini
Hiyo timu nilikuwa lazima ishinde walau isalie kwenye lig 1
 
daaah ... man ulienda vzr kinoma !!! 🙁🙁
Tatizo kujua mchawi alipojificha daaadeki .... grrrrrrrrr

pole sn, daaah inasikitisha sn huu mkeka wallah.
Bora hata huu,kuna ule mwingine wa 3+ M-Bet duh!wameuchana Lorient vs Ajaccio..
 
Hiyo timu nilikuwa lazima ishinde walau isalie kwenye lig 1
lakini sio kirahisi vile. kumbuka lyon katoka kumpiga mtu goli 7, iweje leo afungwe na kibonde kienyeji kama hivi? hapa lazima FFF waingilie kati hii MATCH FIXING.
 
Back
Top Bottom