Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dortmund jipu aiseee
1463240397736.jpg
 
Daaah, kweli wingi wa timu sio guarantee ya kushinda bet. Yani kati ya mikeka mi5 kwa siku ya leo unapumua mmoja tu mpk dakika hii, mingine yote chaliii ... wallah Dortmund kanikomesha [emoji36][emoji36][emoji36] nlimuweka kwny mikeka miwili, walau nayo ingekuwa inapumua, daaah [emoji134][emoji134][emoji16][emoji16]
 
ahaha polee mkuu
 
Nimeeeekomaaaaa......nimekooooomaaaaa..... Nilizani poapoaaaaaa kumbe sio poaaaaaaa....... Mtoto wa nzi ........ Khaaaaa kipindi nimepata shidaaaa ya misiba nimempigaaaaaa mhindi...... Duh.... Tangu tuzike wiki ya pili bilabila....... Likizo inanihusu
 
Karibu..Mi nipo Unguja huku..wiki ijayo ndo narudi ofisini..
 
Mfyuuuuuuu....... Stake 500000..... Maninaaaaaa........ Unajua mrefu kwako...mfupi kwa wenzio....... Jipimie kina......

Hahahaha ... iga ufeee !! wengine ukiona stake 50,000/- ujue ni buku dasi (5,000/-). We hushangai kutoona mkeka unarushwa humu, wanarusha maneno tu ambayo hata ww unaweza kuyaandika ... teh teh teh
 
Screenshot zipo.... Na kuna wapiganaji wa nchi kavu.... Wanatia mzigo.... Wa ukwe'nhe..... Tungekuwa tunatoa tips tu.... Madau Mungu anajua.... Mnatisha watu..... MTU ana cha ngama buku...afu we we unatia 500000.... Unamtikisa jamaaa
 
Mzee mwenzangu hii biashara kichaa sana, si kwa dau kubwa wala dogo.
 
4/4
0131 14-05 22:00 Angers-Toulouse
Total Goals0-3 1.27
1492 14-05 23:00 Instituto-Club Ferro
Total Goals0-3 1.09
3145 14-05 23:45 River Plate-Gimnasia LP
Total Goals0-3 1.17
3291 14-05 22:00 Brasil de Pelotas-Parana
Total Goals0-3 1.19

Total odd1.93
 
Back
Top Bottom