Mm nimelipia sasa hv ipo fresh 2Kuna mtu amefanikiwa kulipia m bet kwa tigo pesa Leo? Naona kwangu inazingua
Mm nimelipia sasa hv ipo fresh 2
View attachment 347434
Nimeiweka vizuri,mwanzoni ilikuwa na duplicate attachments.
Leo nataka nisuke kama mitano hv ya jero jero 3+ na mmoja wa buku tano wa 2+ maana duh mechi nyingi sana leo hadi nimedata lakini cha kushangaza kesho utashangaa kila mtu analalamika hapa.Hahahaaa..
Hebu share nasi ile yako ya 2+ ndugu yangu.
inagomaje mkuu mbona nimeweka bila tatizo?Hivi wakuu kuna aliyefanikiwa kuweka namba ya tigo pesa kwenye account ya premier betting? Manake mimi inanigomea kabisa!
May be players wake wame bet aisee, hako ka katimu kalikua na odd 11Dortmund huyu mmmmmh
May be players wake wame bet aisee, hako ka katimu kalikua na odd 11
Mechi ya Cagliari ni ya kuitazama Mara 2 maana hao Salernitana wako danger zone halafu Cagliari ni kama ameshafunga ofisi
Mechi ya Cagliari ni ya kuitazama Mara 2 maana hao Salernitana wako danger zone halafu Cagliari ni kama ameshafunga ofisi