Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Usitishwe na dau mkuu Kama uliweka elfu kumi umepata faida buku sits sio mbaya.

Lkn kumbuka bet kamari ya pata potea na mm kuna Sikh mambo yanakuwa hovyo unakuta nimenuna mpaka majirani wanajua huyu Leo VP?
[emoji38] [emoji38]
 
Dah mi wananiacha hoi m bet ndo maana nawahamaga nimebet mchana mkeka timu zishashinda ila bado risitu inasomeka paid agrrrrr
 
Yah boss, wanatulazimisha tuichezee tena wakati kwa wale wanaotoa mikeka ya karatasi bonus yao wanapewa mkononi
Yaani unaangaika online kutengeneza mkeka...unakula..hela inagawanywa eti Cash...upande mwingine..bonus...alafu bonus huwezi kuitoa labda uliwe...loooh wabadilishe hii sio haki
 
Hivi wakuu kuna aliyefanikiwa kuweka namba ya tigo pesa kwenye account ya premier betting? Manake mimi inanigomea kabisa!
 
Mm mbn nawekaga fresh 2
Sasa mimi sielewi nakosea nini? Kwasababu tayari 255 imeshaandikwa, mimi huwa naongezea namba yangu bila sifuri ya mwanzo yaani naandika 719******,sasa nikiandika hivi naambiwa kwamba namba ni fupi mno!
 
Back
Top Bottom