Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah Viking, Tromso 2.98 ml zileeeeeeee
[emoji36] [emoji57] [emoji36]
 
Hii weekend naona nimeiingia kwa mguu wa kushoto msaada wenu ni muhimu wadau
1463118904616.jpg
 
Yan ni hatar mim mwenye naishiaga kuzihusudu nachezaga Mara mojamoja
 
kwa bahati mbaya mbet hawajaweka mechi za ireland
Ndo na mim naangalia hapa nashangaaga sijui hili likampuni limekuja kuwaje. Tatizo liko kizamani sana sijui watu wao wa IT wanafanya nini options za kichoko kishenzi. Jana nlikula mkeka saa 7 mchana ukawa inasoma paid mpaka saa 5 usiku dah.
 
Tokyo win
Kashiwa over/under 1.5
Gamba Osaka over/under 1.5
Mchana mzuri
 
Back
Top Bottom