Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mungu bariki kazi ya mikono yangu
 

Attachments

  • Screenshot_2016-05-13-18-32-42.png
    Screenshot_2016-05-13-18-32-42.png
    41.6 KB · Views: 46
Jamani Mechi ya Granada na Barcelona ni yakuogopa kama ukoma...maana Granada anaweza akashuka akizingua...
 
Jamani Mechi ya Granada na Barcelona ni yakuogopa kama ukoma...maana Granada anaweza akashuka akizingua...
Je?barcelona anaeutaka ubingwa maana kwa barca ni must win ili awe bingwa,, ila kwa kua ina odds ndongo ni ya kuachana nayo tu..
 
Nimepishana na mwindi hapa valenciennes [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkekabet unajiungaje maana nimeanza kuweka pesa kwenye ac yao ili nipate pin but mpaka now nna namba za simu,password sina.
 
Back
Top Bottom